Tangazo! Tangazo!
Wanachi wote mnakumbushwa kuwa Waziri wa katiba na sheria, Augustine Mahiga, amewataka wananchi wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kufika ofisi za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kujiandikisha na kupewa vyeti vyao vya kuzaliwa. Mheshimiwa Maiga ametoa kauli hiyo Bungeni jijini Dodoma Novemba 11, 2019. Waziri amesisitiza kuwa vyeti vya kuzaliwa ni mhimu inapofika wakati wa mtu kuajiliwa. WANANCHI MSIPUUZIE AGIZO HILI!